Mashoga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+tazama pia |
No edit summary |
||
Mstari 22:
'''Mashoga''' ni [[jina]] la [[wimbo]] uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la [[Marquis Original]] katika [[miaka ya 1980]] mwishoni na [[Miaka ya 1990|ya 1990]] mwanzoni. Ni [[moja]] kati ya nyimbo zilizotamba sana miaka hiyo.
Mashairi yake anazungumzia [[
Humu walitumia sana mtindo wa "Sendema" mtindo maarufu sana kwa bendi hii. Kama ilivyo kawaida wa [[muziki wa dansi]], sehemu kubwa inapiga vyombo tupu kama tumbuizo kwa wasikilizaji. Midomo ya [[bata]] ([[tarumbeta]]) zimepigwa vilivyo katika wimbo huu - kwa umahiri wa hali ya juu.
Mstari 37:
*Mtunzi wa wimbo - Ngoie Mubenga
*Waimbaji: [[Issa Nundu]], [[Parash Mukumbule]], [[Mutombo Audax]] na [[Tshimanga Assosa]].
==Tazama pia==
*[[Hali Ngumu]]
|