Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 9:
Alizaliwa [[1945]] katika familia ya [[Waluo]] akiwa mtoto wa chifu [[Jaramogi Oginga Odinga]] aliyekuwa makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya. Baba yake alikuwa kiongozi mkuu wa Waluo akatazamiwa baadaye kama mpinzani mkuu wa rais wa kwanza [[Jomo Kenyatta]].
 
Kaka yake Raila, Oburu Odinga amekuwa mwanasiasa na mbunge vilevile ambapo Sasasasa ni mbunge EALA.
 
Raila amemwoa Ida Betty Odinga na wana watoto wanne: Fidel, Rosemary, Raila jr. na Winnie.
Mstari 15:
== Elimu na kazi ==
Raila baada ya kumaliza shule nchini Kenya alikwenda kusoma [[uhandisi]] katika Chuo cha Ufundi [[Magdeburg]] ([[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]]) kati ya [[1965]] hadi [[1970]]. Alipata digrii ya MSc kama mhandisi. Alijiunga na [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] kama mwalimu hadi 1974 alipokuwa naibu mkurugenzi katika [[Shirika la Viwango Kenya]] (Kenya Bureau of Standards).
[[Picha:Raila Amolo Odinga - World Economic Forum on Africa 2008.jpg]]
 
Raila Amolo Odinga - World Economic Forum on Africa 2008.jpg
 
Raila alianzisha makampuni kadhaa kama vile Applied Engineering Services na Pan African Petroleum Limited. Ameendelea kuendesha kampuni ya familia ya Spectre International Limited inayoshika 40% za hisa za kiwanda cha ethanol cha Kisumu na East African Spectre inayotengeneza chupa za gesi ya kupikia. Mwaka [[2007]] alikadiriwa kuwa na mali yenye thamani ya takriban bilioni 4 za shilingi za Kenya.
 
Line 63 ⟶ 61:
 
== Kinara wa azimio la Umoja ==
Raila Odinga <ref>{{Cite web|title=Uhuru to grace Raila's crowning as Azimio flagbearer at KICC » Capital News|url=https://www.capitalfm.co.ke/news/2022/03/uhuru-to-grace-railas-crowning-as-azimio-flagbearer-at-kicc/|work=Capital News|date=2022-03-12|accessdate=2022-03-27|language=en-US|author=Davis Ayega}}</ref> mwaka wa 2022 alivikwa taji laameteuliwa kuwania urais mara ya tano kwa tiketi ya [[Azimio la Umoja]].
 
==Tanbihi==