Haki za binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
''Kwa orodha za haki za binadamu angalia makala [[Tangazo kilimwengu la haki za binadamu]]''
 
'''Haki za binadamu''' ni wazo la kuwa kila mtu anastahili [[haki]] kadhaa si kwa kutegemea [[cheo]], wala [[taifa]], wala [[tabaka]], wala [[jinsia]], wala [[dini]] kwa sababu tu yeye amezaliwa [[binadamu]].
 
Haki hizi zimeorodheshwa hasa katika [[Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]]. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa [[karne]] kadhaa.