Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Diskografia: Extended Play List(EP)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 16:
}}
 
'''Nasibu Abdul Juma Issaack''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii yalikuwa Chibu, Simba ama Dangote; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Fleva]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].
Mstari 30:
Mzaliwa wa Dar es Salaam mwenye [[asili]] ya mkoani [[Kigoma]], Diamond ni [[Mwislamu]].
 
Mwaka 2010, alikubali [[chama tawala]] tawala cha Tanzania, [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) na mgombea wake wa urais, [[Jakaya Kikwete]]. Pia aliandika remix ya wimbo wake mmoja.
 
Nasibu Juma anasimamiwa kwa pamoja na Babu Tale na Said Fella kutoka sekta ya muziki wa Tanzania. Anasemekana kuwa mwanamuziki tajiri zaidi katika Afrika Mashariki. Mnamo Februari [[2018]] alizindua [[Wasafi Tv]] na [[Radioredio]] yake mpya nchini [[Tanzania]]. Ni mwanamuziki wa pili baada ya Youssou Ndour wa Senegal kumiliki TV na kituo cha [[Radioredio]] katika Afrika.
 
Pia alizindua albamu yake ya kwanza [[A Boy From Tandale]] huko [[Nairobi]] katika maandamano ya [[2018]].
 
Ana watoto wanne ambao ni Dylan Abdul (aliyezaa na Hamisa Mobeto), Lattifah na Nillan Nasibu Abdul (aliyezaa na [[ZariZarinah Hassan]], [[mfanyabiashara]] wa [[Afrika Kusini]]) pamoja na Nasibu Abdul Nasibu (aliyemzaa na [[mtangazaji]] na [[mwanamuziki]] [[NatashaTanasha Donna]] toka [[Kenya]]). Pia ni [[rafiki]] wa wengi.
 
== Tuzo na uteuzi ==