Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 16:
}}
'''Nasibu Abdul Juma Issaack''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii yalikuwa Chibu, Simba ama Dangote; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Fleva]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].
Mstari 30:
Mzaliwa wa Dar es Salaam mwenye [[asili]] ya mkoani [[Kigoma]], Diamond ni [[Mwislamu]].
Mwaka 2010, alikubali [[chama
Nasibu Juma anasimamiwa kwa pamoja na Babu Tale na Said Fella kutoka sekta ya muziki wa Tanzania. Anasemekana kuwa mwanamuziki tajiri zaidi katika Afrika Mashariki. Mnamo Februari [[2018]] alizindua [[Wasafi Tv]] na [[redio]] yake mpya nchini [[Tanzania]]. Ni mwanamuziki wa pili baada ya Youssou Ndour wa Senegal kumiliki TV na kituo cha
Pia alizindua albamu yake ya kwanza [[A Boy From Tandale]] huko [[Nairobi]] katika maandamano ya [[2018]].
Ana watoto wanne ambao ni Dylan Abdul (aliyezaa na Hamisa Mobeto), Lattifah na Nillan Nasibu Abdul (aliyezaa na
== Tuzo na uteuzi ==
|