Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 1:
{{vyanzo}}
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro'''<ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo vs Lionel Messi: Who is the GOAT in football? The stats head-to-head showdown {{!}} Goal.com|url=https://www.goal.com/en/news/cristiano-ronaldo-vs-lionel-messi-who-is-the-goat-football-stats-/ual7d33i8hjz14plhwkf2yvkr|work=www.goal.com|accessdate=2022-05-03}}</ref> GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[Mshambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Uingereza]] katika [[klabu]] ya [[Manchester United]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]].
 
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora [[duniani]] na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo ana [[tuzo]] tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara [[Ulaya]], na ni mchezaji wa kwanza katika [[historia]] kushinda mara nne [[viatu vya dhahabu]].