Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu Uhariri wa hali ya juu wa rununu
No edit summary
Mstari 1:
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro'''<ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo vs Lionel Messi: Who is the GOAT in football? The stats head-to-head showdown {{!}} Goal.com|url=https://www.goal.com/en/news/cristiano-ronaldo-vs-lionel-messi-who-is-the-goat-football-stats-/ual7d33i8hjz14plhwkf2yvkr|work=www.goal.com|accessdate=2022-05-03}}</ref><ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo: 'I'm the Best Player in History,' 'Have Always Thought That'|url=https://bleacherreport.com/articles/2748294-cristiano-ronaldo-im-the-best-player-in-history-have-always-thought-that|work=Bleacher Report|accessdate=2022-05-03|language=en|author=Gill Clark}}</ref> GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[Mshambuliajimshambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Uingereza]] katika [[klabu]] ya [[Manchester United]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]] lake.
{{vyanzo}}
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro'''<ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo vs Lionel Messi: Who is the GOAT in football? The stats head-to-head showdown {{!}} Goal.com|url=https://www.goal.com/en/news/cristiano-ronaldo-vs-lionel-messi-who-is-the-goat-football-stats-/ual7d33i8hjz14plhwkf2yvkr|work=www.goal.com|accessdate=2022-05-03}}</ref><ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo: 'I'm the Best Player in History,' 'Have Always Thought That'|url=https://bleacherreport.com/articles/2748294-cristiano-ronaldo-im-the-best-player-in-history-have-always-thought-that|work=Bleacher Report|accessdate=2022-05-03|language=en|author=Gill Clark}}</ref> GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[Mshambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Uingereza]] katika [[klabu]] ya [[Manchester United]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]].
 
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora [[duniani]] na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo anaamepata [[tuzo]] tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara [[Ulaya]], na ni mchezaji wa kwanza katika [[historia]] kushinda mara nne [[viatu vya dhahabu]].
 
Ameshinda tuzo 27 katika [[kazi]] yake, ikiwa ni pamoja na mataji matano ya [[ligi kuu]], vikombe vya [[UEFA]] [[Champions League]] na moja ya UEFA nations league.
 
Ronaldo<ref>{{Cite web|title=CR7 - Cristiano Ronaldo's Official Website|url=https://www.cristianoronaldo.com/|work=CR7|accessdate=2022-05-03}}</ref> atastaafu na kumbukumbu za mabao mengi rasmi yaliyofungwa katika ligi za juu za Ulaya, [[Ligi ya Mabingwa]] ya UEFA kwa ngazi ya klabu na ya mataifa , pamoja na magoli mengi yaliyofungwa katika michuano ya UEFA Msimu wa Ligi. Amefunga mabao zaidi ya 600 katika klabu yake na nchi yake.
 
== Maisha ==