Dawati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ButlersDesk.jpg|thumb|Dawati la kuandikia.]]
'''Dawati''' ni [[vipande]] vya [[mbao]] vilivyounganishwa na [[meza]] mbili ikiwa moja ni [[ndefu]] na nyingine ni [[fupi]]. Zilizo katika vipimo vinavyowiana katika pande mbali mbali. Dawati hutengenezwa kulingana na idadi ya watu wanaokaa katika dawati hilo.Kuna dawati la mtu mmoja watu wawili na watu wa tatu
 
Dawati hutumiwa [[shule|shuleni]], [[ofisi|ofisini]], [[nyumba|nyumbani]] na kadhalika.