Kizulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zulu warrior.jpg|thumb|[[Shujaa]] wa [[kabila]] la Zulu]]
 
'''Kizulu''' ('''isiZulu''') ni [[lugha]] ya [[Wazulu]] inayoongelewa nchini [[Afrika Kusini]], na idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa milioni 9-10 hasa katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kizulu huhesabiwa kati ya [[lugha]] za Kinguni ndani ya [[lugha za Kibantu]].
 
Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kizulu nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Uswazi]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kizulu iko katika kundi la S40.
Mstari 22:
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/zulu1248 lugha ya Kizulu katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/zul
{{African Union languages}}
{{mbegu-lugha}}