Kizulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zulu warrior.jpg|thumb|[[Shujaa]] wa [[kabila]] la ZuluWazulu.]]
'''Kizulu''' ('''isiZulu''') ni [[lugha]] ya [[Wazulu]] inayoongelewa hasa nchini [[Afrika Kusini]], na idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa milioni 9-10 hasa katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kizulu huhesabiwa kati ya [[lugha]] za Kinguni]] ndani ya [[kundi]] kubwa zaidi la [[lugha za Kibantu]].
 
[[Mwaka]] wa [[2006]] [[idadi]] ya wasemaji wa Kizulu nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Eswatini]]. Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kizulu iko katika kundi la S40.
'''Kizulu''' ('''isiZulu''') ni [[lugha]] ya [[Wazulu]] inayoongelewa nchini [[Afrika Kusini]], na idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa milioni 9-10 hasa katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kizulu huhesabiwa kati ya [[lugha]] za Kinguni ndani ya [[lugha za Kibantu]].
 
MwakaWakati wa [[2006Mfecane]] idadikatika [[karne ya 19]] wasemaji wa Kizululugha nchiniya AfrikaKizulu Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemajiwalihama nchinihadi [[BotswanaZimbabwe]], [[Lesotho]], [[MalawiZambia]], [[Msumbiji]] na [[UswaziTanzania]]. Kufuatanaambapo nalugha uainishajiimebadilika wakiasi lughakikubwa zana Kibantukuwa, wakwa mfano, [[Malcolm GuthrieKindebele]] Kizuluau iko katika kundi la S40[[Kingoni]].
 
Wakati wa [[mfecane]] katika [[karne ya 19]] wasemaji wa lugha ya Kizulu zimehama hadi [[Zimbabwe]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]] ambapo lugha imebadilika kiasi kikubwa kwa mfano [[Kindebele]] au [[Kingoni]].
 
Tafsiri ya ukurasa katika Kizulu
Line 24 ⟶ 23:
{{African Union languages}}
{{mbegu-lugha}}
 
{{DEFAULTSORT:Zulu}}
[[Jamii:Lugha za Afrika Kusini]]
[[Jamii:Lugha za Kibantu]]
[[Jamii:Lugha za Botswana]]
[[Jamii:Lugha za Lesotho]]
[[Jamii:Lugha za Malawi]]
[[Jamii:Lugha za Msumbiji]]
[[Jamii:Lugha za Eswatini]]