Kituruki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Reverted KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 45:
|agency=[[Turkish Language Association]]
}}
'''Kituruki''' ([[jina]] [[asili]]: Türkçe; kwa [[Kiingereza]]:''Turkish'') ni [[lugha rasmi]] nchini [[Uturuki]]. Ni [[lugha]] yenye wasemaji [[milioni]] 80. Hivyo ni lugha yenye wasemaji wengi zaidi kati ya [[Lugha za Kiturki]] zinazozungumzwa na watu milioni 170 katika [[Asia ya Magharibi]] na [[Asia ya Kati]].
 
Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye [[kisiwa]] cha [[Kupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za [[Dola la Uturuki]]. Kutokana na [[uhamiaji]] wa Waturuki kuna pia wasemaji milioni kadhaa katika nchi za [[Umoja wa Ulaya]].