Haki za binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WikiForHumanRightsTanzania_2022
 
Mstari 6:
Haki hizi zimeorodheshwa hasa katika [[Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]]. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa [[karne]] kadhaa.
 
Hoja la kimsingi ni kwamba, "Watu wote wamezaliwa huru; [[hadhi]] na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa [[akili]] na [[dhamiri]], hivyo yawapasa watendeane kindugu". (Kifungu 1 cha tangazo la 1948).
 
Mizizi ya haki hizo inapatikana katika [[falsafa]] na dini mbalimbali ya tangu kale, lakini ilikuwa wakati wa [[zama za mwangaza]] tangu [[karne ya 18]] ya kwamba haki hizi zilijadiliwa kwa undani pamoja na swali: ni matokeo gani kuwepo kwa haki hizi yanaleta kwa utaratibu wa [[siasa]], [[serikali]] na [[jamii]].
Mstari 47:
 
[[Jamii:Haki za binadamu]]
[[Jamii:WikiForHumanRights 2022 Tanzania]]
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]