Urithi wa Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 197.186.4.137 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na InternetArchiveBot
Tag: Rollback
Mstari 10:
Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu la Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.
 
Tangu [[1972]] kuna [[mkataba wa kimataifa]] wa [[Stockholm]] kuhusu hifadhi ya urithi wa dunia kiutamaduni na kimazingira.
 
Kila mahali panapopendekezwa ili pakubaliwe panahitaji angalau sifa moja kati ya sita zifuatazo:
* kuwa na thamani ya pekee ya kisanii
* kuwa na athira muhimu katika [[eneo]] fulani au kipindi cha [[historia]]
* kuwa kitu cha pekee kisichopatikana tena au kuwa na umri mkubwa
* kuwa mfano bora wa kipindi fulani cha historia ya ujenzi
* kuwa muhimu katika uhusiano na fikra muhimu au watu muhimu wa historia
 
''Kamati ya Urithi wa Dunia'' hukutana kila mwaka na kuangalia maombi ya kupokelewa katika orodha ya urithi wa dunia. Kamati inapokea taarifa kuhusu hifadhi na hali ya urithi uliopo tayari orodhani. Kila baada ya miaka miwili orodha inatolewa upya.
 
== Viungo vya nje ==