Anonymous user
Lugha ya kuundwa : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 173.212.78.29 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni) Tag: Rollback |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mara chache '''lugha ya kuundwa''' maana yake ni lugha za [[kompyuta]] au za kuandaa [[programu]] (angalia [[lugha asilia]]). Kwa sababu ya [[utata]] huo watu wengi, hasa [[Kiesperanto|Waesperanto]], hawapendi kutumia neno ''lugha ya kuundwa'', na badala yake wanasema ''[[lugha ya kupangwa]]''. Msemo ''lugha ya kupangwa'' unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliundwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu, kama [[Kiesperanto]].
Mfano mwingine wa lugha ya kuundwa ni lugha ya sheng' inayozungumzwa nchini Kenya hasa miongoni mwa vijana. Lugha hiyo Haina wazawa asilia mahali popote ila tu ilizuka miongoni mwa vijana Kwa kutaka kusitiri mazungumzo Yao. Hivi ni kuunga mkono wazo la hapo awali kwamba lugha unde Huwa Kwa Sababu za kusitiri mazungumzo au kuunda programu za kompyuta kama vile lugha iitwaya "binary language" ambayo hutumika katika vifaa vya kielektroniki Ili kuundia programu zake. Lugha hiyo ndio hueleweka na mashine za kielektroniki kama tarakilishi au kikokotoo.
== Marejeo ==
* [[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]
* Massamba, David 2004
{{mbegu-lugha}}
|