Boutros Boutros-Ghali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|150px|Boutrous Boutrous-Ghali Boutros Boutros-Ghali (Kar. '''بطرس بطرس غالي''', Kikopti: Bουτρος Βουτρος-Γαλι) (...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Boutros Boutros-Ghali.jpg|thumb|150px|Boutrous Boutrous-Ghali]]
 
Boutros Boutros-Ghali ([[Kar.]] '''بطرس بطرس غالي''', [[Kikopti]]: Bουτρος Βουτρος-Γαλι) (alzaliwa 14 Novemba 1922) ni mwanasiasa na mtaalamu wa sheria kutoka nchini [[Misri]]. Alikuwa katibu mkuu wa [[UM]] kati ya 1992 na 1996.
 
Alizaliwa katika familia ya Wakristo [[Wakopti]] mjini [[Kairo]]. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha Kairo akamaliza 1946 akaendelea kuchukua hati ya dokta huko Ufaransa.
 
Baada ya kufundisha miaka kadhaa alipewa nafasi ya naibu waziri wa mambo ya nje chini ya raisi [Anwar as-Sadat]. Akishughulika amani kati ya [[Israeli]] na Misri alisaidia pia kuachishwa gerezani kwa [[Nelson Mandela]].