Boutros Boutros-Ghali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marekebisho kadhaaa...
No edit summary
Mstari 3:
'''Boutros Boutros-Ghali''' ([[Kar.]] '''بطرس بطرس غالي''', [[Kikopti]]: Bουτρος Βουτρος-Γαλι) (amezaliwa [[14 Novemba]] [[1922]]) ni mwanasiasa na mtaalamu wa sheria kutoka nchini [[Misri]]. Alikuwa katibu mkuu wa [[UM]] kati ya 1992 na 1996.
 
Alizaliwa katika familia ya Wakristo [[Wakopti]] mjini [[Kairo]]. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Kairo]] akamaliza 1946 akaendelea kuchukua hati ya dokta huko [[Ufaransa]].
 
Baada ya kufundisha miaka kadhaa alipewa nafasi ya naibu waziri wa mambo ya nje chini ya raisi [[Anwar as-Sadat]]. Akishughulika amani kati ya [[Israeli]] na Misri alisaidia pia kuachishwa gerezani kwa [[Nelson Mandela]].