Freddie Mercury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Freddie Mercury performing in New Haven, CT, November 1977.jpg|thumb|Freddie Mercury. (1977)]]
 
'''Freddie Mercury''' ([[5 Septemba]] [[1946]] – [[24 Novemba]] [[1991]]) alikuwa [[mwimbaji]] wa bendi ya [[Queen]], ambayo inapiga [[muziki wa rock]]. Freddie Mercury alizaliwa mjini [[Zanzibar]] katika familia ya [[Waparsi]] yenye asili ya Uhindi, lakini yeye na familia yake walihamia [[Uingereza (nchi)|Uingereza]] baada ya [[mapinduzi ya Zanzibar]] alipokuwa bwana mdogo. Yeye, [[Brian May]], [[Roger Meddows-Taylor|Roger Taylor]] na [[John Deacon]] waliumba [[Queen]] mwaka [[1970]]. Kwa Queen aliandika nyimbo zingi maarafu, kama "[[Bohemian Rhapsody]]", "[[Killer Queen]]", "[[Somebody to Love]]", "[[Don't Stop Me Now]]", "[[Crazy Little Thing Called Love]]" na "[[We Are the Champions]]".