Tendo la ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1205441 lililoandikwa na 102.23.98.13 (Majadiliano)
Tag: Undo
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Kigezo:Mapendo}}
'''Tendo la ndoa''' (pia: '''ngono''') ni kitendo cha kujamiiana, (kutombana) kati ya [[mwanamke]] na mwanaume[[mwanamume]].
 
===Mkamilishano===
 
[[Jinsia]] zinalenga kukamilishana katika [[ndoa]]. Kadiri ya [[Biblia]] [[Mungu]] baada ya kumuumba [[Adamu]] alisema, “Si vema mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (Mwa 2:18).
 
[[Umbile]] la [[mwanamume]] linaelekea kukamilishana na lile la [[mwanamke]] kiroho na kimwili. Lakini [[roho]] haionekani, hivyo ni rahisi zaidi kuona jinsi miili yao inavyofaa kuungana iwe [[mwili]] mmoja.
 
Hata hivyo tuelewe mkamilishano huo unafanyika katika [[nafsi]] pia, ambazo zina [[vipawa]] tofauti vinavyowezesha kwa pamoja kukabili vizuri [[maisha]] ya nyumbani, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya [[dini]] n.k.
 
===Uzazi===
 
Tukiangalia [[viungo vya uzazi]] vya kike tunakuta kwenye kilango chake [[kizinda]], yaani [[nyama]] nyembamba inayoondolewa na mwanamume wa kwanza anayekiingilia. Ndiyo sababu ni kama mhuri wa [[ubikira]] wa mwanamke. Katikati ya kizinda kuna tundu dogo tu kupitishia [[damu]] wakati wa [[hedhi]], yaani siku zile ambazo anatokwa damu kupitia [[uke]] ulio nafasi ya wazi (kati ya kizinda na [[tumbo la uzazi]]) iliyo tayari kupokea [[uume]] na [[mbegu]] zake.
 
Line 22 ⟶ 21:
 
Ingawa kila moja ina viini vilevile, polepole seli zinatofautiana ili kufanya kazi maalumu ([[ubongo]], [[moyo]] na [[viungo]] vingine) na kushirikiana zote vizuri katika umoja wa mwili. Baada ya miezi miwili viungo vyote vimeshatengenezwa, halafu vinazidi kukua na kukamilika hadi mwezi wa tisa ambapo mwishoni mwake mtoto atazaliwa.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Jamii]]
[[Jamii:Biolojia]]