Dawati : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Faili:Ambariomiambana - école primaire 5.jpg|thumb|Madawati darasani nchini Madagaska]]
[[Picha:Gammel liten skolepult pult skolebenk Tre Benk stol Lokk Rom under bordplate Grop til blekkhus Maling flasser Old small wooden school room bench writing desk Storage compartment space under table top Porsgrunn Norway 2020-01-14 1646.jpg|thumb|Dawati la shule kwenye makumbusho nchini [[Norwei]]]]
'''Dawati''' (pia '''deski'''<ref>Kufuatana na [[Kamusi Kuu ya Kiswahili|Kamusi Kuu]] dawati na deski ni visawe</ref>) ni meza inayotumiwa hasa na mwanafunzi kwa kuandikia au kusomea mara nyingi ikiwa na sanduku ya kuwekea vitabu, madaftari na kalamu.
Wakati mwingine dawati inataja [[mtoto wa meza]] au saraka pekee.
Madawati ya shule mara nyingi hutengenezwa pamoja na kiti chake kama kipande kimoja, ilhali kimo cha sehemu ya meza na ya kiti hulingana na umri wa wanafunzi wanaolengwa. Upana wa dawati hutengenezwa kulingana na idadi ya watu wanaokaa katika dawati hilo. Kuna dawati la mtu mmoja watu wawili na watu watatu.
Dawati hutumiwa [[shule|shuleni]], [[ofisi|ofisini]], [[nyumba|nyumbani]] na kadhalika. ▼
▲
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{mbegu}}
[[Jamii:Samadi]]
[[jamii:Shule]]
[[Jamii:Vifaa]]
|