Dawati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Faili:Ambariomiambana - école primaire 5.jpg|thumb|Madawati darasani nchini Madagaska]]
[[Picha:Gammel liten skolepult pult skolebenk Tre Benk stol Lokk Rom under bordplate Grop til blekkhus Maling flasser Old small wooden school room bench writing desk Storage compartment space under table top Porsgrunn Norway 2020-01-14 1646.jpg|thumb|Dawati la shule kwenye makumbusho nchini [[Norwei]].]]
'''Dawati''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; pia '''deski'''<ref>Kufuatana na [[Kamusi Kuu ya Kiswahili|Kamusi Kuu]] dawati na deski ni visawe</ref> kutoka neno la [[Kiingereza]] ''desk'') ni [[Meza (samani)|meza]] inayotumiwa hasa na [[mwanafunzi]] kwa kuandikia au kusomea mara nyingi ikiwa na [[Sanduku|sanduku]] yala kuwekea vitabu, madaftari na kalamu.
 
Madawati ya shule mara nyingi hutengenezwa pamoja na kiti chake kama kipande kimoja, ilhali kimo cha sehemu ya meza na ya kiti hulingana na umri wa wanafunzi wanaolengwa. Upana wa dawati hutengenezwa kulingana na idadi ya watu wanaokaa katika dawati hilo. Kuna dawati la mtu mmoja watu wawili na watu watatu.
Mstari 7:
Madawati hupatikana [[shule|shuleni]], [[ofisi|ofisini]], [[nyumba|nyumbani]] na kadhalika.
 
Wakati mwingine dawati inatajalinataja [[mtoto wa meza]] au saraka pekee.
 
Kwa maana tofauti kidogo "dawati" inawezalinaweza kumaanisha pia ofisi, kitengo au idara ndani ya taasisi fulani; kwa mfano "dawati la vijana" linaweza kutaja afisa au maafisa wanaohusika na mambo ya vijana katika ofisi kuu ya chama.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Samani]]
[[jamii:Shule]]