Kitunda (sataranji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 57 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q135 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Kitunda1.png|thumb|450px|'''Mwendo wa kitunda'''<br />'''Kushoto:''' Nafasi za vitunda mwanzoni wa mchezo ziko kwenye mstari wa pili kila upande<br />'''Kulia:'''Mwendo: hatua ya kwanza ya kitunda ni mirabi 2 au 1 kwenda mbele pekee. Hatua zinazofuata ni mraba 1-1 tu (angalia nukta nyeupe/nyeusi).<br />'''Kukamata:'''alama nyekundu zinaonyesha miraba ambako vitunda vyeupe vinaweza kukamata kete za adui; alama buluu ni miraba ambako vitunda vyeusi vinaweza kukamata<br />. ]]
'''Kitunda'''
Nafasi ya kitunda ni kama askari wa mguu katika jeshi; maafisa wa juu na askari wenye silaha za pekee wanakaa nyuma yake.
Mstari 10:
Kwa hiyo namna ya kufungua mstari wa vitunda ni kipindi cha kwanza katika mchezo wa shataranji.
== Mwendo ==
Line 23 ⟶ 22:
Kama kinapita mraba unaotishiwa na kitunda cha adui kinaweza kuondolewa. Sababu yake ni ya kwamba kama kingetembea hatua ndogo ya mraba 1 tu adui kingekuwa na nafasi ya kuishambulia. Kama mchezaji adui anaamua hivyo anaweza kuondoa kitunda na kuweka chake kwenye mraba uliotishiwa naye awali.
[[Jamii:
|