Martino wa Msalaba Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '220px|''Mt. Martino wa Leon na Mt. [[Isidori wa Sevilia akiwa amemtokea''.]] '''Martino wa Msalaba Mtakatifu''' (pia: '''Martino wa Leon'''; 113012 Januari 1203) alikuwa padri wa Watawa Wakanoni, mwenye ujuzi mkubwa wa Maandiko matakatifu huko Léon, Hispania, alioushirikisha kwa njia ya vitabu pia<ref>Martin wrote commentaries on different ...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:MartinLeo17.jpg|220px|thumb|''Mt. Martino wa Leon na Mt. [[Isidori wa Sevilia]] akiwa amemtokea''.]]
'''Martino wa Msalaba Mtakatifu''' (pia: '''Martino wa Leon'''; [[1130]] &ndash; [[12 Januari]] [[1203]]) alikuwa [[padri]] wa [[Mtawa|Watawa]] [[Ukanoni|Wakanoni]], mwenye ujuzi mkubwa wa [[Biblia ya Kikristo|Maandiko matakatifu]] huko [[Léon]], [[Hispania]], alioushirikisha kwa njia ya [[Kitabu|vitabu]] pia<ref>Martin wrote commentaries on different [[Epistles]] and the [[Book of Revelation|Apocalypse]], and he left numerous discourses on the many varied subjects. His complete works were published first by Espinosa (Seville, 1782), [[Migne]] in ''[[Patrologia Latina]]'', LXXXI, 53-64, CCVIII, CCIX (Paris, 1855).</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[12 Januari]].<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
== Tanbihi==
{{Reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 6 ⟶ 19:
* [https://web.archive.org/web/20150923180143/http://www.augustiniancanons.org/About/saints.htm#St.%20Martin%20of%20Leon Augustinian Canons: Blessed Martin of Leon]
* [http://www.newadvent.org/cathen/09732a.htm Martin of Leon] at the [[Catholic Encyclopedia]]
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1130]]
[[Category:Waliofariki 1203]]
[[Jamii:Wakanoni]]
[[Jamii:Mapadri]]
[[Jamii:Waandishi wa Kilatini]]
[[Jamii:Watakatifu wa Hispania]]