Kaukazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: Disambiguation links
Mstari 1:
[[Picha:Kaukasus.jpg|thumb|300px|Milima ya Kaukazi inavyoonekana kutoka angani]]
'''Kaukazi''' (kwa [[Kirusi]] Кавказ ''Kawkas''; kwa [[Kigeorgia]] კავკასიონი ''Kawkasioni'') ni eneo la [[milima kunjamano]] ambayo ipo baina ya [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari ya Kaspi]] linalohesabiwa kuwa mpaka kati ya [[Asia]] na [[Ulaya]] almaarufu [[Ulasia]].
 
Kaukazi iko katika eneo la nchi [[Armenia]], [[Azerbaijan]], [[Georgia (nchi)|Georgia]] na [[Urusi]]. MlimaKilele unaojulikana hasa nichenye [[mlima Araratkimo]] unaosemekana ni mahali pa [[safina ya Nuhu]]. Kelele yenye kimo kikubwa ni mlima [[Elbrus]] upande wa Urusi mwenyechenye [[mita]] 5,642 [[juu ya UB]].
 
Hata hivyo, [[mlima]] unaojulikana hasa ni [[mlima Ararat]] unaosemekana ni mahali pa [[safina ya Nuhu]].
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Milima ya Asia]]
[[Jamii:Milima ya Ulaya]]
[[Jamii:Kaukazi| ]]