Basiano wa Lodi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Basiano wa Lodi''' (kwa [[Kilatini]]: '''Bassianus'''; [[310]] hivi - [[Siracusa]], [[Sicilia]], [[Italia]], [[19 Januari]] [[409]]) alikuwa askofu wa [[mji]] [[lodi|huo]] wa [[Italia Kaskazini]] kuanzia [[mwaka]] [[373]] hadi [[kifo]] chake.
Kama [[kijana]]
Baada ya kuchaguliwa askofu, alishiriki [[mtaguso wa Akwileia]] ([[381]]) na labda hata [[mtaguso wa Milano]] ([[390]]). Ili kulinda [[kundi]] lake dhidi ya [[uzushi]] wa [[Ario]], uliokuwa bado na nguvu katika eneo hilo, alipambana kwa [[bidii]] pamoja na [[rafiki]] yake askofu [[Ambrosi]] wa [[Milano]]. Pamoja naye alisaini [[barua]] kwa [[Papa Siricius|Papa Sirisi]].
|