Mkoa wa Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
habari kutoka makala "Wilaya za Mkoa wa Mbeya"
Mstari 4:
Kuna wilaya 8 zifuatazo: [[Mbeya Mjini]], [[Mbeya Vijijini]], [[Rungwe]], [[Kyela]], [[Ileje]], [[Mbozi]], [[Chunya (wilaya)|Chunya]] na [[Mbarali]].
 
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza kabisa ndani ya Tanzania ikiwa na sehemu za [[Ziwa la Nyasa]], [[Ziwa Rukwa]], [[milima ya Mbeya]], [[Rungwe (mlima)|milima ya Rungwe]], Uwanja wa juu wa Uporoto, Uwanja wa Usangu ingawa haukufikiwa bado na utalii.
 
Wenyeji wa wilaya ya Chunya ni [[Wabungu]] na waishio huko zaidi ni [[Wanyiha]].
 
Wilaya ya [[Rungwe (wilaya)|Rungwe]] ni eneo penye mvua nyingi katika [[Tanzania]]. Mkoa wa ujumla ni mojawapo kati ya mikoa yenye kilimo kizuri inayotoa mazao ya kulisha taifa. Lakini maeneo makubwa ya Wilaya ya Chunya ni makavu.