Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
==Makhalifa wanne wa kwanza==
Mtu wa kwanza aliyetumia cheo hiki alikuwa ([[Abu Bakr]] aliyeongoza ummah ya Waislamu baada ya [[kifo]] cha Mtume Muhammad mwaka [[632]]. Alichaguliwa na viongozi wa Waislamu kwa sababu Muhammad hakumwacha mrithi wala maagizo kuhusu atakayemfuata kama kiongozi.
 
Abu Bakr alifuatwa na [[Umar ibn al-Khattab]], [[Uthman ibn Affan]] na [[Ali ibn Abi Talib]].
Mstari 15:
Hawa wanne ni viongozi katika historia wanaokubaliwa na mikondo karibu yote ya Uislamu kwa sababu walichaguliwa na wafuasi wa Mtume Muhammad wenyewe. Isipokuwa kikundi kidogo cha [[Wakhariji]] wanaokubali makhalifa wawili wa kwanza pekee. Washia wanafundisha ya kwamba Ali angepaswa kuwa khalifa tangu mwanzo.
 
Baada ya kifo cha Ali Bin Abiy Twalib lilitokea farakano kati ya Waislamu: wachache waliwataka wana wa Ali kundelea kuongoza lakini walio wengi walimfuata [[Muawiya]] (mkuu wa jeshi la Waislamu huko [[Dameski]]) aliyepigana na Ali na mwanawe [[Hussain]] kijeshi na kushinda.
 
 
==Wamuawiya, Waabbasi na Waosmani==