Blogu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ia:Blog
dNo edit summary
Mstari 3:
Zipo blogu za aina mbalimbali. Kwa mfano, [[blogu za maandishi]], [[blogu za mkononi]], [[blogu za picha]], [[blogu za sauti]], na [[blogu za video]].
 
Blogu ya mradi wa [[Global Voices Online|Global Voices]] inaandika muhtasari wa majadiliano na habari zinazojitokeza katika blogu mbalimbali duniani, hasa nje ya [[Marekani]]. Mradi huu una wanablogu katika nchi mbalimbali duniani ambao wanaandika juu ya masuala muhimu yanayojitokeza katika blogu za nchini mwao au katika bara lao.
 
==Viungo vya nje==