Yohane Yi Munu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Yeye na wenzake 102 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html Korea and the church of martyrs]</ref>
 
[[Sikukuu]] ya hao [[Wafiadini wa Korea]] huadhimishwa tarehe [[20 Septemba]], lakini ya kwake mwenyewe na ya wenzake [[Paulo Hong Yongju]] na [[Barbara Choe Yongi]] tarehe 1 Februari<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>. Paulo alikuwa [[katekista]], Yohane alikuwa maarufu kwa kusaidia [[maskini]] na kuzika wafiadini, Barbara alikuwa ameshauliwa [[mume]] na [[wazazi]] kwa ajili ya [[Masiya|Kristo]]. Wote watatu walikatwa [[kichwa]].
 
==Mazingira==