Petro Hong Pyongju : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Yeye na wenzake 102 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html Korea and the church of martyrs]</ref>
 
[[Sikukuu]] ya hao [[Wafiadini wa Korea]] huadhimishwa tarehe [[20 Septemba]], lakini ya kwake na ya wenzake watano ([[Augustino Pak Chongwon]], [[Maria Yi Indok]], [[Magdalena Son Sobyok|Magdalena Son So-byg]], [[Agata Yi Kyongi|Agata Yi Kyng-i]], [[Agata Kwon Chini|Agata Kwn Chin-i]]) ni tarehe 31 Januari, ambapo yeye na hao, baada ya kuteswa sana, walizidi kukiri imani yao hadi walipokatwa vichwa<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Mazingira==