Yoana wa Valois : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Yoana wa Valois, [[Waanunsyata|O.Ann.M.]]''', ([[Nogent-le-Roi]], [[Ufaransa]], [[23 Aprili]] [[1464]] – [[Bourges]], [[Ufaransa]], [[4 Februari]] [[1505]]) alikuwa [[binti]] [[mfalme]] wa [[Ufaransa]] na kwa muda mfupi [[malkia]] wa nchi.
 
Baada ya [[ndoa]] yake na [[Alois XII]] kutangazwa batili alianzishaalikazania [[maisha ya kiroho]] na kutafakari juu ya [[msalaba wa Yesu]] akaanzisha [[monasteri]] akawa [[abesi]] [[mwanzilishi]] wa [[masista]] [[wamonaki]] wa [[Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari]].
 
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]]. Alitangazwa [[mwenye heri]] na [[Papa Benedikto XIV]] [[tarehe]] [[18 Juni]] [[1742]] halafu mtakatifu na [[Papa Pius XII]] tarehe [[28 Mei]] [[1950]].