Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Ndege wakubwa kiasi wa maji wanaojificha katika uoto wa vinamasi
Content deleted Content added
Ukurasa mpya
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:38, 12 Julai 2006

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Botaurus Stephens

Ixobrychus Billberg
Tigriornis Sharpe

Spishi: Angalia katiba

Vumatiti ni ndege wakubwa wa jenasi Botaurus, Ixobrychus na Tigriornis ndani ya familia Ardeidae wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, kratesha na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

  • Botaurus lentiginosus (American Bittern)
  • Botaurus pinnatus (South American Bittern)
  • Botaurus poiciloptilus (Australasian Bittern)
  • Ixobrychus cinnamomeus (Cinnamon Bittern)
  • Ixobrychus eurhythmus (Schrenck's Bittern)
  • Ixobrychus exilis (Least Bittern)
  • Ixobrychus flavicollis (Black Bittern)
  • Ixobrychus involucris (Stripe-backed Bittern)
  • Ixobrychus sinensis (Yellow Bittern)