Kibali (Indonesia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
video imeongezwa #WPWP
Mstari 1:
[[File:WIKITONGUES - Ni Luh speaking Balinese.webm|thumb|250px|Kibali (Indonesia)]]
 
'''Kibali''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] inayozungumzwa na [[Wabali]] kwenye visiwa vya [[Bali]] na [[Nusa Penida]]. Pia Wabali wamehamia visiwa vya [[Sulawesi]] na vya [[Lombok]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 3,330,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibali iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kibali nchini za [[Kibali (Kongo)|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Kibali (Nigeria)|Nigeria]].