Msaada:Interwiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 13:
 
Sasa utaona orodha ya lugha zenye viungo kwenda makala za lugha nyingine. Ni msaada mkubwa kama msomaji anataka kusoma maelezo zaidi kwa Kiingereza na kadhalika. Ni msaada pia kwa wahariri wanaosoma lugha hizo wakitafuta habari za nyongeza.
 
==Kusahihisha Interwiki==
 
Ukikuta kiungo cha Interwiki kisicho sahihi (mtumiaji aliyetangulia alikosa kuteua namba sahihi) unaweza kubofya "Hariri viungo". Sasa unafika katika ukurasa wa Wikidata, angalia sanduku ya "Wikipedia", bofya "edit" halafu alama ya ndoo ya takataka ili kufuta neno la Kiswahili. Sasa bofya "publish" na kufunga Wikidata. Ukiita sasa makala yako utaona haionyeshi interwiki tena (inaweza kuchukua dakika kadhaa hadi mabadiliko yanaonekana). Sasa unaweza kuanza upya kuweka interwiki sahihi.
 
Hatua hizo utatekeleza katika mtazamo wa dawati (Desktop view) inayopatikana kwa kubofya maandishi madogo "dawati" kwenye dirisha la simu yako, chini kabisa.
 
 
 
<div style="float: left; background-color: #f5faff; color: #000; padding: .2em .6em; font-size: 130%; border: 1px solid #cedff2;">'''Jaribu ulichojifunza katika [[/sanduku la mchanga/]]'''</div>{{-}}