Wolfgang Lukschy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
'''Wolfgang Lukschy''' ([[19 Oktoba]] [[1905]] - [[10 Julai]] [[1983]] mjini [[Berlin]]) alikuwa [[mwigizaji]] wa [[filamu]] na na muundaji wa rekodi za muziki wa filamu kutoka nchini [[Ujerumani]]. Huyu, alishawahi kutumbuiza katika maukumbi, filamu, na vipindi vya [[televisheni]] ([[tamthilia]]).
 
Amecheza zaidi ya filamu 75 pamoja na kuonekana katika vipindi vya TV kunako miaka ya 1940 na 1979. Inawezekana akawa ameanza kufahamika zaidi baada ya kucheza kama Alfred Jodi katika filamu ya kivita ya [[Marekani|Kimarekani]] mnamo mwaka wa 1962 ya ''The Longest Day''. Pia anajulikana zaidi kwa kucheza kama John Baxter katika mkusanyika wa kwanza wa filamu iliongozwailiyoongozwa na [[Sergio Leone]] ya ''[[A Fistful of Dollars]]'' kunako 1964, akiwa sambamba kabisa na [[Clint Eastwood]] na [[Gian Maria Volontè]].
 
[[Picha:Wolfgang Lukschyffd64.jpg|thumb|left|300px|Lukschy akicheza kama John Baxter katika filamu ya ''[[A Fistful of Dollars]]'' (1964) akiwa na [[Clint Eastwood]].]]
Mstari 25:
==Viungo vya nje==
* {{IMDb name|id=0525742}}
{{Mbegu-igiza-filoamufilamu}}
{{DEFAULTSORT:Lukschy, Wolfgang}}
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Ujerumani]]