Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
 
Meli huwa na mstari chini yake; mstari huo mara nyingi huwa wa [[rangi]] nyekundu au nyeusi, na mstari huu hautakiwi kuzama kabisa ndani ya maji kwani meli inaweza kuzama pale tu mstari huu utakapo zama wote ndani ya [[maji]]. Pia [[meli]] hizi hazitakiwi kutembea katika [[maji]] yenye kina kifupi kwani zinaweza kuzama.
 
wanaopakia na kuakua mizigo katika meli huwa wanafhamika kama kuli.
 
{{mbegu}}