Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Meli za mizigo" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
masahihisho, nyongeza
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 4:
'''Meli za mizigo''' ni [[meli]] ambazo hutumika kubeba [[mizigo]] mbalimbali na kuisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Kuna meli za mizigo elfu nyingi zinazosafiri kwenye bahari, maziwa na mito mikubwa ya Dunia. Zinabeba sehemu kubwa ya bidhaa za biashara ya kimataifa. Meli za mizigo kwa kawaida hutengenezwa kwa kazi maalumu kama vile kubeba kontena, mizigo ya mchanganyiko, shehena za mafuta au gesi.
Meli za mizigo za sasa ni tofauti na meli za mizigo za zamani kwani za sasa zinatengenezwa kwa [[teknolojia]] ya kisasa na zinatumia [[umeme]] kutembea, tofauti na meli za zamani zilizokuwa zikitumia [[makaa ya mawe]] ili kuweza kutembea.
 
Siku hizi hutengenezwa kwa [[feleji]] na kusukumwa kwa [[injini za diseli]]. Kuna pia majaribio ya kutumia nguvu ya upepo au umeme. Ziko kubwa na ndogo na kwa kawaid huwa na maisha ya kazi ya miaka 20 hadi 30 hadi kupumzishwa na kubomolewa tena.
 
Meli za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]], [[mashine]] mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.