Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
 
Mstari 6:
Kuna meli za mizigo elfu nyingi zinazosafiri kwenye bahari, maziwa na mito mikubwa ya Dunia. Zinabeba sehemu kubwa ya bidhaa za biashara ya kimataifa. Meli za mizigo kwa kawaida hutengenezwa kwa kazi maalumu kama vile kubeba kontena, mizigo ya mchanganyiko, shehena za mafuta au gesi.
 
Siku hizi hutengenezwa kwa [[feleji]] na kusukumwa kwa [[injini za diselidizeli]]. Kuna pia majaribio ya kutumia nguvu ya upepo au umeme. Ziko kubwa na ndogo na kwa kawaid huwa na maisha ya kazi ya miaka 20 hadi 30 hadi kupumzishwa na kubomolewa tena.
 
Meli za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]], [[mashine]] mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.