Mpumalanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
fix link
d →‎Jiografia: upgrade Eswatini
 
Mstari 43:
 
== Jiografia ==
Mpumalanga imepakana na [[UswaziEswatini]] na [[Msumbiji]] halafu na majimbo ya [[KwaZulu-Natal]], [[Dola Huru]], [[Gauteng]] na [[Limpopo]]. [[Hifadhi ya Kruger]] ambayo ni [[hifadhi ya wanyama]] mashuhuri imo jimboni.
 
Kuna kanda mbili za tambarare za juu penye [[usimbishaji]] kidogo na tambarare za duni penye mvua nyingi.
 
== Uchumi ==