Zain Verjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Cnncenter.jpg|thumb|250px|right|Jumba la habari la CNN,[[Atlanta]]]]
'''Zain Verjee''' (alizaliwa 11 Februari [[1974]]) ni [[mwandishi]] wa [[Kanada]] mwenye asili ya Kihindi. Alizaliwaaliyezaliwa na kulelewa nchini [[Kenya]]. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha ''CNN'' cha ''World Report'' yaani ripoti ya dunia nzima, kipindi hiki huandaliwa jijini [[London]],[[Uingereza]]. Hapo awali, yeye alifanya kazi kama msoma habari katika kipindi cha ''The Situation Room'', mwanahabari mshirika wa idara ya serikali na mtangazaji mwenza wa kipindi cha CNN cha ''Your World Today.''
 
==Historia==
'''Zain Verjee''' (alizaliwa 11 Februari 1974) ni mwandishi wa [[Kanada]] mwenye asili ya Kihindi. Alizaliwa na kulelewa nchini [[Kenya]]. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha ''CNN'' cha ''World Report'' yaani ripoti ya dunia nzima, kipindi hiki huandaliwa jijini [[London]],[[Uingereza]]. Hapo awali, yeye alifanya kazi kama msoma habari katika kipindi cha ''The Situation Room'', mwanahabari mshirika wa idara ya serikali na mtangazaji mwenza wa kipindi cha CNN cha ''Your World Today.''
 
Verjee alijiunga na [[CNN]] katika mwaka wa 2000, kabla ya hayo alikuwa msomaji wa habari katika Mfumo wa Runinga wa Ghana,jijini Nairobi. Ameripoti habari mbalimbali na matukio ya duni nzima:mkutano wa Waziri Mkuu Atal Bihari Vajpayee wa [[India]] na Rais Pervez Musharraf wa Pakistan, migogoro ya Mashariki ya Kati,kesi ya aliyekuwa kiongozi wa [[Yugoslavia]](Slobobdan Milosevic), mashambulizi ya 11 Septemba,Hajj na vita nchini [[Iraq]]. Yeye ,pia,huripoti kuhusu habari ya biashara barani [[Afrika]] katika kipindi cha kila wiki cha ''Inside Africa'' katika stesheni ya CNN.Kipindi hiki huhusu habari ya kindani na kamilifu ya bara la Afrika.
Line 32 ⟶ 30:
* [http://cities.expressindia.com/fullstory.php?newsid=60674 Indian Express], 18 Agosti 2003.
* [http://www.sajaforum.org/2006/11/media_zain_verj.html SAJAforum.org]
 
{{DEFAULTSORT:Verjee, Zain}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1974]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:WatangazajiWaandishi wa habari wa Kanada]]
[[Jamii:Waislamu wa Kanada]]
[[Jamii:Wanafunzi waliotoka Chuo Kikuu cha McGill]]
[[Jamii:Watu kutoka Nairobi]]