Nembo ya Slovenia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:36, 15 Julai 2006

Nembo ya Slovenia ni ngao ya buluu inayoonyesha mlima wa Triglaff ambao ni mlima mkubwa wa nchi yenye ncha tatu. Mlima unakatwa na mistari miwili ya buluu inayodokeza kwa mawimbi wa bahari ya Adria. Juu yake kuna nyota tatu za rangi ya dhahabu kutoka nembo ya kihistoria ya Utemi wa Celje.

Nembo ya Slovenia