Walutheri : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[File:Lutheranism_by_country.png|thumbnail|Walutheri nchi kwa nchi mwaka 2013]]
{{Ukristo}}
'''Walutheri''' ni [[jina]] linalotumika kuwataja kwa jumla wafuasi wa [[Yesu Kristo]] wanaozingatia mafundisho yaliyotolewa na [[Martin Luther]] katika [[karne ya 16]].
==Uenezi==
[[Madhehebu]] ya Kilutheri yalienea nje ya [[Ulaya Kaskazini]] kule ambako Wajerumani na Waskandinavia walihamia, kama vile [[Marekani]].
[[Bara]]ni [[Afrika]] Walutheri wako hasa katika nchi zilizokuwa ma[[koloni]] ya [[Ujerumani]], kama vile [[Tanzania]], [[Namibia]] na [[Kamerun]], lakini pia [[Ethiopia]].
[[Idadi]]
Wafuasi wao walio wengi wengi wanaishi [[Ujerumani]] milioni 12.5, [[
Kwa kuwatazama kama asilimia ya wakazi katika nchi mbalimbali Walutheri ni jumuiya kubwa kabisa ya kidini katika nchi zote za [[Skandinavia]], [[
==Muundo, imani, liturujia==
Muundo wao wa kanisa ni ama [[dayosisi]]/jimbo au kanisa la kitaifa.
[[Asilimia]] kubwa ya Walutheri wako pamoja katika [[Shirikisho la
Msingi wao ni [[Biblia ya Kikristo]] yenye vitabu 66 tu.
Mstari 26:
Kumbe hali hiyo inadumu mpaka leo katika nchi za Skandinavia (Sweden, Norway, Denmark n.k.) ambapo [[wafalme]] waliamua kugeuza Kanisa zima la nchi zao kuwa la Kiinjili-Kilutheri. Ila Sweden Walutheri waliendelea na cheo cha uaskofu na desturi nyingi za Kanisa la kale, wakifanana zaidi na [[Waanglikana]] wa [[Uingereza]].
Walutheri wote wanaadhimisha [[sakramenti]] 2, yaani [[Ubatizo]] na [[Chakula cha Bwana]]. [[Asilimia]] 80 za makanisa yao zinakubali [[Mchungaji|wachungaji]] [[Mwanamke|wanawake]].
==Tanbihi==
Mstari 60:
*Moldehnke, Edward F. "Was ist denn eigentlich ein Lutheraner?" ''Evangelish-Lutherisches Gemeinde-Blatt''. Vol. 1, nos. 8–10 (1866). Trans. Nathaniel J. Biebert. [http://www.studiumexcitare.com/content/111 "So What Actually Is a Lutheran?"] ''Studium Excitare''. Issue #12 (2010).
*A historical study of the Laestadian Lutheran Church, the SRK, and Conservative Laestadianism. [http://examinationofthepearl.org/]
{{mbegu-Ukristo}}
[[Jamii:Walutheri]]
[[Category:Ukristo]]
|