Tiro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 4:
[[File:TyreAlMinaTheatre.jpg|thumb|Magofu ya jukwaa huko ''Al Mina'']]
[[File:Tyre2009b.JPG|thumb|Sehemu ya kusini ya mji wa leo.]]
'''Tiro''' au '''Turo''' (kwa [[Kiarabu]] صور, Ṣūr, kwa [[Kigiriki]] Τύρος, Týros) ni [[mji]] wa [[Lebanoni]] kusini maarufu katika [[historia ya kale]] hasa kwa [[utajiri]] uliotokana na [[biashara]] yake ya kupitia [[bahari|baharini]]. Hata leo unategemea sana [[bandari]] yake.
 
[[Jina]] la mji linamaanisha "[[mwamba]]"<ref>Bikai, P., "The Land of Tyre", in Joukowsky, M., ''The Heritage of Tyre'', 1992, chapter 2, p. 13</ref> na kutokana na mwamba ambao mji umejengwa juu yake hapo awali.
 
Wakazi walikuwa 117,000 hivi mwaka [[2003]],<ref>[http://www.citypopulation.de/Lebanon.html Lebanon – city population]</ref><ref>[http://www.country-data.com/cgi-bin/query/r-7956.html Lebanon Population]</ref> na kuufanya mji wa nne nchini Lebanoni.<ref>[http://tyros.leb.net/tyre/ Tyre City, Lebanon]</ref>
Mstari 12:
[[Utalii]] unavutiwa na [[magofu]] ya zamani, kikiwemo kiwanja cha mashindano ya mbio ya [[farasi]] cha wakati wa [[utawala]] wa [[Warumi]] kilichoorodheshwa na [[UNESCO]] kati ya mahali pa [[Urithi wa Dunia]] mwaka [[1979]].<ref>Resolution 459</ref>.
 
==Katika Biblia==
Katika [[Biblia]] mji huo unachukuliwa kama [[kielelezo]] cha [[kiburi]]; hata hivyo [[Yesu]] alisema ungetubu mapema kuliko [[Wayahudi]] wenzake aliowahubiria kwa kuwapa uthibitisho wa [[miujiza]] mingi ([[Math]] 11:21-23) na hata hivyo bado walionesha uzito (ugumu) wa kuamini na kumpokea.
 
Dondoo lenyewe ni hili: Mathayo 11:21 “Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu zamani kwa kuvaa magunia na majivu.