Sakristia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Sakristia ikiwa na mavazi yameandaliwa. '''Sakristia''' (kutoka Kilatini "sacristia"; kwa Kiingereza "sacristy") ni ...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9
Mstari 1:
[[File:Sacristygennep.jpg|thumb|Sakristia ikiwa na mavazi yameandaliwa.]]
'''Sakristia''' (kutoka [[Kilatini]] "sacristia"; kwa [[Kiingereza]] "sacristy") ni [[chumba]] maalumu kwa ajili ya kutunza [[mavazi ya liturujia]] (kama vile [[alba]] na [[kasula]]) na vifaa vingine vya [[ibada]] za [[Kikristo]] (kama vile [[mkate]], [[divai]], [[mshumaa|mishumaa]] n.k.).<ref>{{Cite web|url=https://en.oxforddictionaries.com/definition/vestry|title=Vestry|last=|first=|date=|website=English Oxford Living Dictionaries|publisher=Oxford University Press|access-date=|accessdate=2017-10-14|archivedate=2016-11-26|archiveurl=https://web.archive.org/web/20161126064933/https://en.oxforddictionaries.com/definition/vestry}}</ref>
 
Kwa kawaida sakristia iko jirani na [[ukumbi]] wa [[kanisa]], ili [[padri]] na watumishi waingie moja kwa moja baada ya kuvaa kiibada.