Teresa Eustoki Verzeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mt. Teresa Verzeri. '''Teresa Eustoki Verzeri''' (Bergamo, Lombardia, 31 Julai 1801Brescia, 3 Mac...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ThérèseVerzeri.jpg|thumb|Mt. Teresa Verzeri.]]
'''Teresa Eustoki Verzeri''' ([[Bergamo]], [[Lombardia]], [[31 Julai]] [[1801]] – [[Brescia]], [[3 Machi]] [[1852]]) alikuwa [[mwanamke]] wa [[Italia kaskazini]] ambaye, baada ya kuacha [[monasteri]] ya [[Wabenedikto]], alianzisha shirika la [[Mabinti wa Moyo Mtakatifu wa Yesu ke]] kwa ajili ya kulea [[wasichana]]. [[Jina]] lake la awali lilikuwa Ignazia<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75450</ref>.
 
Alitangazwa [[mwenye heri]] na [[Papa Pius XII]] [[tarehe]] [[27 Oktoba]] [[1946]], halafu [[mtakatifu]] na [[Papa Yohane Paulo II]] tarehe [[10 Juni]] [[2001]]<ref>[https://www.vatican.va/content/john-paul-ii/en/homilies/2001/documents/hf_jp-ii_hom_20010610_canonizzazione.html Canonization of 5 blesseds]</ref>.
Mstari 21:
[[Category:Waliozaliwa 1801]]
[[Category:Waliofariki 1852]]
[[Category:Mabikira]]
[[Jamii:Wamonaki]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
[[Category:Mabikira]]
[[Category:Watawa waanzilishi]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]