Revocatus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Revocatus alikuwa kati ya [[watumwa]] wa [[familia]] ya Perpetua sawa na mwenzake Felista. Pamoja na wasichana hao na Saturninus alikuwa mmoja wa wanafunzi wa imani ya kikristo mjini Karthago waliojiandaa kubatizwa. Kundi lote likakamatwa pamoja na kutupwa jela. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatiwza gerezani.
 
Pamoja na akina [[mama]] hao vijana na wanaume wengine 3 walikamatwa pamoja na kutupwa [[Gereza|jela]]. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatizwa[[Ubatizo|wakabatiwza]] gerezani.
 
Walihukumiwa [[adhabu ya kifo]] katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu wengi. Hukumu ilitekelezwa kwa njia ya [[wanyamapori]]. Waliraruliwa na wanyama mbalimbali, wakamalizwa kwa [[upanga]], isipokuwa Sekondinus aliyefariki gerezani.
 
Revocatus anakumbukwa kwamba alisimama mbele ya umati wa watu waliokuja kuona [[damu]] ya wafiadini hao akawakumbusha ya kuwa kila mmoja atawajibika mbele ya [[Mungu]].