Sekondinus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 4:
Anaheshimiwa tangu kale kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]] pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi Wakristo wa [[Afrika ya Kaskazini]].
 
Pamoja na akina [[mama]] hao vijana na wanaume wengine 3 walikamatwa pamoja na kutupwa [[Gereza|jela]]. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatizwa[[Ubatizo|wakabatiwza]] gerezani.
 
Walihukumiwa [[adhabu ya kifo]] katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu wengi. Hukumu ilitekelezwa kwa njia ya [[wanyamapori]]. Waliraruliwa na wanyama mbalimbali, wakamalizwa kwa [[upanga]], isipokuwa yeye aliyefariki gerezani.
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe ya [[kifodini]] chao<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.