Katerina wa Bologna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Katerina wa Bologna''' ni jina linalotumika kwa kawaida kumtajia Katerina wa Vigri ([[8 Septemba]] [[1413]] - [[9 Machi]] [[1463]]), [[bikira]] na [[abesi]] wa [[monasteri]] ya [[Bologna]] ya [[Waklara|Shirika la Mtakatifu Klara]] aliyelea kiroho [[wanawake]] wengi hata kwa [[maandishi]] bora.
 
Alitangazwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[13 Novemba]] [[1703]] na [[mtakatifu]] tarehe [[22 Mei]] [[1712]].
Mstari 8:
[[Picha:Catherinebolognaart.jpg|thumb|left|[[Bikira Maria]] na mtoto [[Yesu]] walivyochorwa na Katerina wa Bologna.]]
[[File:Caterina - Sette armi spirituali, circa 1475 - 2367343.tif|thumb|Kitabu ''Sette armi spirituali'', kilichoandikwa na Katerina mwaka [[1475]].]]
Katerina alizaliwa huko Bologna katikana Yohane wa [[ukoo]] wa kisharifu wa Vigri na Yohane na Benvenuta Mammolini.
 
Tangu utotoni alilelewa kwa bidii na kusoma hata [[Kilatini]].
 
Mwaka [[1424]], akiwa na miaka 11, Katerina alihamia ikulu laya [[Ferrara]] na kuendelea vizuri na [[elimu]] ya wakati ule: [[muziki]], [[uchoraji]], [[dansi]], [[ushairi]], [[unakili]].
 
Mwaka [[1427]] alihama na kujiunga na kundi la wasichana walioishi pamoja wakifuata kwanza maisha ya kiroho ya [[Agostino wa Hippo]], lakini mwaka [[1432]] waliweka [[nadhiri]] ya kushika kanuni ya [[Klara wa Asizi]], na kufuata maisha ya ndani tu katika monasteri.
Mstari 20:
Abesi wa monasteri ya Ferrara, Leonarda Ordelaffi, aliwaandikia watawala wa Bologna: “Mjue kwa hakika kwamba nawapatia mtakatifu Klara wa pili”.
 
Katerina ni kati ya Waklara wa [[Observantia]] ambao walishika upendo kwa [[ustaarabu]] pamoja na kukazania zaidi utakatifu katika njia ya [[toba]] na [[unyenyekevu]], kwa mfano [[Eustokia Calafato]] wa [[Messina]] na [[Batista Varano]] wa [[Camerino]].
 
Kwa [[vipaji]] vyake vingi, Katerina alikuwa pia [[mchoraji]] mzuri. [[Kazi]] zake zinatunzwa sehemu mbalimbali za Italia.