Msaada:Tafsiri ya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala moved page Wikipedia:Tafsiri ya kompyuta to Msaada:Tafsiri ya kompyuta over redirect
Mstari 10:
==Tufanye nini?==
# Kama makala ina lugha isiyoeleweka au ya ajabu ni vema kuangalia makala yake ya Kiingereza, maana mara nyingi ni tafsiri ya sehemu ya makala katika enwiki.
# Tupime kama ni tafsiri ya kompyuta kwa kutumia [https://translate.google.com/translate translate.google.com]. Tumwage sehemuy a makala ya Kiingereza upande wa dirisha la kwanza (tunapochagua "English") na kuangalia tafsiri yake.
# Tulinganishe matokeo na matini ya makala ya swwiki tunayochungulia. (njia rahisi ni: anzisha jedwali katika word, mwaga tafsiri upande mmoja na makala ya swwiki upande mwingine)
# Tukihakikisha makala ya swwiki ni matini imepokelewa neno kwa neno kutoka google, na Kiswahili kina kasoro, makosa au hakieleweki, tunaamua kama tunaweza kuisahihisha (au kama tunapenda kutumia muda wetu kwa jambo hili) halafu ama tunasahihisha au tunabandika kigezo cha '''<nowiki>{{futa}}</nowiki>''' na kuandikisha makala katika orodha ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] (kwa kubofya link yake), ambako mwingine ataiangalia na kuamua.