Msaada:Tafsiri ya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 14:
# Tukihakikisha makala ya swwiki ni matini imepokelewa neno kwa neno kutoka google, na Kiswahili kina kasoro, makosa au hakieleweki, tunaamua kama tunaweza kuisahihisha (au kama tunapenda kutumia muda wetu kwa jambo hili) halafu ama tunasahihisha au tunabandika kigezo cha '''<nowiki>{{futa}}</nowiki>''' na kuandikisha makala katika orodha ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] (kwa kubofya link yake), ambako mwingine ataiangalia na kuamua.
# Wakabidhi kati yetu wataamua kumzuia mwandishi wa makala kwa kutumia kigezo '''<nowiki>{{zuia tafsiri}}</nowiki>'''kinachoonyeshwa hapo chini; kwa njia hiyo mwandishi anapata nafasi ya kuwasiliana na kupokea ushauri lakini hawezi kuendelea bila mawasiliano.
# Watumiaji wageni husahau mara kwa mara kuonyesha interwiki kwa hiyo hatujui walitafsiri nini katika enwiki. Tunaweza mara nyingi kutambua makala husika ya enwiki kwa kutumia google translate (maana huko walichukua jina). Tubadilishe google translate iwe SW > EN na kumwaga jina la Kiswahili katika dirisha la kwanza. Halafu tutafute tafsiri katika enwiki. Kama hatufiki kwa njia hiyo, tunaweza bado kuangalia kama matini ya enwiki ina jina la mtu n.k. na kuiweka katika dirisha la "Search Wikipdia" tukibofya chini "Search for pages containing ..." na uwezekano ni mkubwa kwamba tutakuta makala tunayotafuta.
 
{{zuia tafsiri}}