Msaada:Tafsiri ya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
 
==Tufanye nini?==
# Kama makala ina lugha isiyoeleweka au ya ajabu ni vema kuangalia makala yake ya Kiingereza, maana mara nyingi ni tafsiri ya kompyuta ya sehemu ya makala katika enwiki.
# Tupime kama ni tafsiri ya kompyuta kwa kutumia [https://translate.google.com/translate translate.google.com]. Tumwage sehemuy a makala ya Kiingereza upande wa dirisha la kwanza (tunapochagua "English") na kuangalia tafsiri yake.
# Tulinganishe matokeo na matini ya makala ya swwiki tunayochungulia. (njia rahisi ni: anzisha jedwali katika word, mwaga tafsiri upande mmoja na makala ya swwiki upande mwingine)